News
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids amegeuka mbogo kwa kuwacharukia mastaa wa timu hiyo kutokana na matokeo ya mechi nne za viporo ...
KOCHA wa Nottingham Forest, Nuno Espirito Santo amesema anazielewa hasira za mmiliki wa klabu hiyo, Evangelos Marinakis baada ...
Ushindi wa mabao 2-1 iliyopata Tanzania Prisons dhidi ya Coastal Union unaiweka katika presha kubwa Kagera Sugar ambayo ...
SUPASTAA, Kylian Mbappe hat-trick yake aliyoifunga kwenye El Clasico imemfanya avunje rekodi iliyokuwa imedumu kwa miaka 33.
BOSI wa Bayer Leverkusen, Fernando Carro anaamini kuna nafasi ya asilimia 50 kwa kiungo wao wa kimataifa wa Ujerumani, ...
WAKATI timu ikipambana kusaka nafasi ya kucheza Ligi Kuu msimu ujao, nyota wa Fountain Gate, Dickson Ambundo amefungua ...
LICHA ya Real Madrid kupoteza mabao 4-3 kwa Barcelona katika pambano la El Clasico wikiendi iliyopita, lakini mchezaji wa ...
KICHAPO cha mabao 2-1 kutoka kwa Simba kimeizindua KMC, ambapo kaimu kocha wa timu hiyo, Adam Mbwana amesema wanayafanyia ...
BEKI wa KenGold, Sadala Lipangile amesema pamoja na timu hiyo kushuka daraja, wachezaji hawajashuka daraja badala yake mechi ...
MABOSI wa Singida Black Stars wameiandikia barua Wydad Casablanca ya Morocco kudai malipo ya mauzo ya mshambuliaji, Seleman ...
UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa mechi mbili kupigwa kwenye viwanja tofauti, huku macho na masikio yakiwa ni ...
BAADA ya kupoteza mchezo dhidi ya Simba Queens wikiendi iliyopita, JKT Queens itashuka tena Uwanja wa Mej Gen Isamuhyo ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results