News

MAMBO ni moto na muda ni mchache. Simba itakuwa Morocco kukipiga na RS Berkane katika mechi inayotarajiwa kuwa ngumu na yenye ...
Wakati sakata la Harmonize na Ibraah la kudaiana Sh1 bilioni likiendelea, mengine yameibuka baada ya Diamond kuingilia kati ...
TANZANIA Prisons kukaa nafasi ya 11 katika Msimamo wa Ligi Kuu ikiwa imecheza mechi 28, imeshinda nane, sare sita, imefungwa ...
Ancelotti aliipa Real Madrid mataji matatu ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na La Liga mara mbili. Alishinda pia Ligi ya Mabingwa ...
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imemfungia Ramadhan Missiru, Katibu Mkuu wa Chama cha Mpira ...
Ulikuwa ni usiku babu kubwa katika dimba la Giuseppe Meazza ambalo pia huitwa San Siro, nyumbani kwa Inter Milan.
MABOSI wa Singida Black Stars wameiandikia barua Wydad Casablanca ya Morocco kudai malipo ya mauzo ya mshambuliaji, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ waliyemuuza kupitia dirisha dogo la usajili akitokea ...
Gwiji wa zamani wa Yanga, Taifa Stars na mchambuzi wa soka nchini, Ally Mayay Tembele, amesema alitarajia sakata la ...
Mpiga gitaa mkongwe nchini, Omar Seseme aliyefariki dunia baada ya kusumbuliwa na maradhi ya moyo anazikwa leo katika ...
YANGA inajiandaa kushuka uwanjani leo jioni kuvaana na Namungo ya Lindi, ikiwa ni mwendelezo wa mechi za Ligi Kuu Bara ...
KOCHA wa Nottingham Forest, Nuno Espirito Santo amesema anazielewa hasira za mmiliki wa klabu hiyo, Evangelos Marinakis baada ...
Ushindi wa mabao 2-1 iliyopata Tanzania Prisons dhidi ya Coastal Union unaiweka katika presha kubwa Kagera Sugar ambayo ...