News

Mkasa mpya umetokea huko Gaza. Maelfu ya watu wenye njaa wamepora ghala la misaada ya kibinadamu la Shirika la Umoja la Mpango wa Chakula Duniani, WFP. Shirika hili la Umoja wa Mataifa limeripoti ...
Hata hivyo, siku ya Ijumaa rais Trump alidokeza kuwa mazungumzo hayo na EU hayakuwa yanaonesha tija na hivyo kutishia kutoza ushuru wa asilimia 50 kwa bisha zote kutoka Umoja huo. Brussels ...
"Lazima tufanye jambo, tuzingatie kila kitu ili kukomesha vita hivi," amesisitiza, baada ya Umoja wa Ulaya (EU) kuamua wiki hii kupitia upya mkataba wake wa ushirikiano na Israeli Kufuatia ...
Na Asha Juma & Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha, Getty Images Mwanadiplomasia mkuu wa Umoja wa Ulaya, Kaja Kallas, amesema kuwa "mashambulizi ya Israel huko Gaza yanavuka mipaka ya kile ...
For nearly 80 years, United Nations peacekeepers have delivered tangible change to communities worldwide. From Liberia and Namibia to Cambodia, Sierra Leone and Timor-Leste, their presence has ...
A new year means a new Fierce Biotech Fundraising Tracker to record the significant amounts of venture capital being funneled into the industry. We're maintaining the criteria we used for last ...
Umoja wa Mataifa leo Mei 29 unaadhimisha siku ya kimataifa ya walinda amani wake kutokana na ujasiri na kujitolea kwa watendaji hao wanaohudumu kwenye maeneo hatari zaidi duniani. Katibu Mkuu wa Umoja ...
Ni kwa kazi ya aina hii, inayojikita katika kujenga imani ya kijamii na kuamini kwa dhati umuhimu wa mitazamo ya kijinsia na uwezeshaji katika ulinzi wa amani, ndipo Umoja wa Mataifa leo unawatunuku ...
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Indonesia wamechukua hatua madhubuti ya kufanikisha jukumu lao la msingi la kulinda raia kwa kujifunza lugha ya ...
Katika taifa hilo changa zaidi duniani walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Mongolia wanaohudumu kwenye Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo (UNMISS) walikuwa msaada mkubwa wakati kijiji cha ...
Mpango tatanishi wa Israel wa usambazaji wa misaada ya kibinadamu umeanza wiki hii katika Ukanda wa Gaza, jambo lililozua hofu na kupingwa na Umoja wa Mataifa, ambao umerejea tena wito wake wa ...
“Hili si pengo la usambazaji tu, bali ni janga halisi la afya, heshima na ulinzi,” imesema ofisi ya OCHA. Kwa mujibu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa, ukosefu wa usafi wa hedhi katika mazingira ya ...